Lazima Tuitupilie Mbali Miungu ya Uongo na Miovu ya Utaifa…
Jumatano, 18 Rajab 1447 - 07 Januari 2026
Kutokana na utaifa, ukabila na kuanzishwa kwa dola za kitaifa na mipaka yake katika ardhi za Waislamu, kitambulisho cha Waislamu kimeharibika na kutengana, ambapo Ummah wa Kiislamu hapo awali uliunganishwa katika udugu mmoja na ndani ya Dola moja ya Kiislamu, badala yake ukagawanyika katika dola za kitaifa zaidi ya 50 na vitambulisho vya kitaifa kufuatia kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab, 1342, mikononi mwa Mustafa Kamal, “baba wa udhalifu”.
Dori ya Magharibi Kafiri katika Kuuchana Umma wetu na katika…
Tulipokuwa Umma mmoja tofauti na mwingine wowote, dola yetu iliweka Rayah (bendera) yake juu ya…
Rajab na Suala la Umoja wa Waislamu
Kwa Waislamu wengi leo, neno “Khilafah” huhisika kama jambo la mbali. Baadhi hulihusisha na vitabu…
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Angazo la…
Katika mwezi mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1447 H (2026 M), tunakumbuka kumbukumbu ya…
Hotuba ya Mwanachuoni na Amiri wa Hizb ut Tahrir Ata…
Katika siku hizi kama hizi, miaka 105 iliyopita, mwishoni mwa Rajab 1342 H, sambamba na…
Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 581
Vichwa Vikuu vya Toleo 581




