Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Msururu wa Makongamano na Amali Pana za Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa msururu wa makongamano, mikutano, semina, na amali pana za kuinua ufahamu wa Waislamu kwamba Umma wa Kiislamu lazima uyasukuma majeshi kusonga ili kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wa wauaji wahalifu.