Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Maandamano Makubwa “Pelekeni Jeshi la Pakistan Kuikomboa Gaza!”
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano makubwa katika miji mikubwa ya Pakistan.