Ushawishi wenye Sumu wa Marekani na Athari Zake Mbaya
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Agosti 27, 2023, uongozi wa yale yanayojulikana kama SDF (Majeshi ya Kidemokrasia ya Syria), pia yanayojulikana kama QSD, yalimkamata kiongozi wa baraza la jeshi la Deir Ez-Zor baada ya kumvutia, pamoja na baadhi ya makamanda wake, kwenye mkutano mmoja katika kambi ya Waziri huko Al-Hasakah.