Hizb ut Tahrir Haifanyi Kazi Kuipindua Serikali ya Kenya
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mashirika ya habari yameripoti kesi inayomkabili Arkanuddin Yassin mwanaharakati wa Hizb ut Tahrir ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Milimani Nairobi mnamo Jumatano 9 Machi 2016; kwa mashtaka ya kubeba fikra za Khilafah ambazo kwazo anataka kuipindua Serikali ya Kenya.