Hakuna Ukandamizaji Isipokuwa Humrudia Mkandamizaji!
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tukiwa tumekamilisha saum za mwezi wa Ramadhani na kuingiliwa na masiku ya kusherehekea Eid ul-Fitr hatuna budi ila kuwakumbuka ndugu zetu walio katika hali ya kusikitisha mno. Hali ambazo hazifai kuwafika Wanyama, Miti hata na Mawe licha Wanaadamu.