- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H – 2022 M
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi, na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika ukurasa huu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu tutaangazia kwa kina amali hizo, tukimuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na Mwenyezi Mungu ni muweza wa hilo, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema katika yale aliyoyapokea Imam Ahmad katika Musnad yake:
"تكون النبوة فيكم ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون ملكًا عاضًا فيكون ما شاء الله أن يكون، ثم يرفعها إذا شاء الله أن يرفعها، ثم تكون ملكًا جبرية فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة، ثم سكت".
"Utume utakuwepo kwenu kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo, kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, na itakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu iwepo kisha ataiondoa apendapo kuiondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kurithishana, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kutenzana nguvu, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, kisha akanyamaza."
Ijumaa, 03 Rajab 1443 H sawia na 04 Februari 2022 M
Kalima ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah
Kalima ya Dkt Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah
Ili Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
"Khilafah ni Tunda Linaloweza Kufikiwa, Basi Harakisheni katika Kulichuma, Enyi Waislamu!"
Jumanne, 28 Rajab Tukufu 1443 H - 01 Machi 2022 M
Ili Kupakua DVD
#أقيموا_الخلافة | |||
#الخلافة_101 | |||
#ReturnTheKhilafah |
|||
YenidenHilafet# |
|||
TurudisheniKhilafah# |
|||
#خلافت_كو_قائم_كرو |
Semina ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
"Vidokezo vya Khilafah Ijayo!"
Jumamosi, 25 Rajab 1443 H - 26 Februari 2022 M
Bonyeza Hapa ili Kupata Angazo Kamili
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/kampeni/2101.html#sigProIdaa04a75085
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/kampeni/2101.html#sigProId1fd91bc880
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/kampeni/2101.html#sigProId3d35f7231c
Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa Khilafah
Wilayah Pakistan |
|
Afisi Kuu ya Habari |
|
Malaysia |
Hizb ut Tahrir / Malaysia Yazindua Kampeni |
Wilayah Afghanistan | |
Wilayah Sudan |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Hotuba ya Imran Khan Yathibitisha Kufeli Kiulimwengu kwa Nidhamu ya Kiuchumi ya Kirasilimali Ambapo ni Khilafah Pekee ndio Inayotoa Kimbilio! Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi 29 Rajab 1443 H - 02 Machi 2022 M
|
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Khutba ya Ijumaa "Sifa za Mtawala katika Uislamu na Mas'uliya ya Umma!" Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi 03 Rajab 1443 H - 04 Februari 2022 M
|
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu! Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi 25 Jumadal al-Akhirah 1443 H - 28 Januari 2022 M
|
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Komesha Utawala wa Kidhalimu, Simamisha Khilafah! Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi 19 Jumada al-Akhir 1443 H - 22 Januari 2022 M
|
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kuanguka kwa Khilafah Kwahitaji Kazi ya Kurudi Kwake! Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi 11 Jumada al-Akhir 1443 H - 14 Januari 2022 M
|
Silsila "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"